Nadhani wadau wengi humu mtakuwa mmeshamsikia au kumwona huyu bwana machachari ambaye ni dokta, mchungaji, mshauri, mwalimu, n.k.
Binafsi napenda kumsikiliza kila wakati anapotoa mada hasa ukichangia na ile spidi yake ya kuongea bila kukosea.
Tatizo lake ni mtu ghali sana linapokuja suala la...