Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.
"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na...