Wengi wetu ambao ni wapenzi wa vipindi vya radio tutakuwa tunamfahamu DJ Fetty ambaye alianza kazi ya utangazaji muda mrefu katika stesheni ya Radio Ya Mawingu (Clouds FM). Alikuwa nguli wa kipindi cha XXL kilichokuwa mahususi kwa vijana na wapenda burudani hasa mziki, miaka hiyo bado unafuta...