Leo tatehe 17/July,nimeshuhudia matusi,kejeli kutoka kwa wana chadema,juu ya mh.mbowe kuhudhuria katika suala ambalo linakwenda kutengeneza hatima ya maisha ya mtanzania kwa miaka 25 ijayo,Mbowe alialikwa na Kitila mkumbo,katika shughuli husika kama mchangiaji mkubwa katika utengenezaji wa sera...