𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔, 𝗠𝗜𝗦𝗥𝗜 𝗭𝗔𝗔𝗭𝗜𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗠𝗔𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜𝗔𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗗𝗜𝗣𝗟𝗢𝗠𝗔𝗦𝗜𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗨𝗖𝗛𝗨𝗠𝗜
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amesema Tanzania na Misri zimedhamiria kuendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa nchi hizo katika biashara...