dhamana ya nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama ana changamoto ya kiafya, anahitaji mkopo wa fedha kwa dhamana ya nyumba

    Habari wanajamii Forum Natumain muhali njema na majukumu ya kila siku. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kuwa kama mwanajamii mwenzenu nimekuja kuomba msaada wa mawazo na majibu juu ya hili. Mzazi wangu anachangmoto ya kiafya inayohitaji fedha nyingi tuu kwajili ya matibabu, kwa bahati mbaya Hana...
  2. Hivi mtu akikopa hela kwa dhamana ya nyumba halafu akajifanya amekufa je bank itaichukua hio nyumba?

    Naombeni tu nijue nini kitatokea kwa mfano nimekopea nyumba ambayo wanakaa wapangaji halafu nikalipa kidogo tuseme nusu halafu nikajifanya nimekufa nikajizika na kujiwekea kaburi..kisha nikasafiri mbali..wakija watu wa bank kunitafuta kwa wapangaji wakaambiwa huyu mtu ni marehemu na wakaenda...
  3. Nahitaji kukopa benki ya CRDB kwa dhamana ya nyumba

    Wakuu,ligi ndio hizooo Naombeni kujua ABC ili kuweza kupata mkopo katika bank ya CRDB kwa dhamana ya nyumba siitaji kiasi kikubwa kama milioni 8 tu inatosha ningependa kujua masharti yao riba zao kuhusu kurudisha hata wakinipa wiki inatosha nitarudisha zote na riba ya nusu kwa nusu m8 kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…