Salam sana Wakuu,
Moja ya watu nawakubali sana, ni hawa viumbe hapa jukwaani JF. Huezi amini huwa natamani siku Mungu anibariki nikutane nao uso kwa Macho huko mikoani au mataifa ya watu.
Nitafuruhi kama atajitokeza yeyote just kuwaelezea ni watu wa namna gani kimuonekano, kimtazamo na maisha...