deogratius mahinyila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    PreGE2025 Deogratius Mahinyila, kete mpya CHADEMA. Simba anayekuja juu kwa kasi sana katika medani za kisiasa Tz, Tishio jingine kwa CCM

    Deogratius Cosmas Mahinyila, ni mwanasheria kutoka Tanzania na mwanaharakati wa kisiasa toka chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA. Alipata umaarufu Januari 2025 alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa BAVICHA, Umoja wa Vijana wa CHADEMA, katika uchaguzi uliofanyika Ubungo Plaza jijini Dar es...
  2. PreGE2025 Deogratius Mahinyila: Polisi watuambie nani anahusika watu kutekwa nchini

    Mwenyekiti wa vijana chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Deogratius Mahinyila akiongea na wananchi wa Bukoba Mjini katika ziara yao ya chama ya "No reforms No Election" Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  3. W

    PreGE2025 Mahinyila: Wametunyima uwanja sasa tutaandamana

    Maneno mazito ya Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA Taifa, Deogratius Mahinyila, wilayani Tunduru kulaani tukio la kunyimwa uwanja wa kufanya mkutano Makamu Mwenyekiti wa John Heche. Amesema hawatutakubali tena polisi watuchagulie eneo la kufanyia mikutano kisha akawataka wananchi...
  4. PreGE2025 Mwenyekiti BAVICHA, Mahinyila: Vijana wanaoikosoa Serikali hawataisha, watu wanaokupinga huwezi kuwamaliza

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema kuwa Serikali inapaswa kutambua kwamba vijana wanaoikosoa hawataisha milele. "Watu wanaokupinga huwezi kuwamaliza" Soma, Pia Mwenyekiti BAVICHA, Deogratius Mahinyila anatoa tamko muda...
  5. Mahinyila: Polisi wanatugonga virungu kwasababu wana stress, CHADEMA hatujawahi kuwa maadui wa Polisi

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila amesema hatakuwa tayari kuona wananchi wanaonewa kwa mambo mbalimbali kama kutozwa kodi na kukamatwa na polisi 'kiholela' hivyo atapambana ili kujenga kuheshimiana kati ya wananchi na mamlaka. Mahinyila...
  6. Shangwe la CHADEMA Arusha wakifurahia ushindi wa Deogratius Mahinyila kama Mwenyekiti MPYA wa BAVICHA Taifa

    Shangwe la WanaCHADEMA kutoka soko kuu Arusha wakifurahia ushindi wa Wakili Deogratius Mahinyila kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa. Soma: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) CHADEMA Taifa 2025 Wanachama hao katika wakisherehekea ushindi...
  7. B

    Je, Mwenyekiti mpya BAVICHA, Wakili Deogratius Mahinyila ni nani?

    14 Januari 2024 Wakili wa Mahakama Kuu achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa BAVICHA Chadema leo 14.01.25. Je Wakili msomi Deogratius Mahinyila ni nani ? Picha maktaba : Deogratius Cosmas Mahinyila Wakili wa mahakama kuu ya Tanganyika Deogratius Mahinyila leo ametangazwa kuwa mwenyekiti mpya wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…