Leo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari
Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano huo ikawa kupokelewa kwa Dr. Slaa, na taarifa ya mkutano huo ikawa imeishia hapo kwamba Azam (UTV)...