demokrasia ya kiafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intaneti ni tishio kwa Watawala au tatizo la uelewa wa Demokrasia?

    Katika miaka ya karibuni, kuzimwa kwa intaneti wakati wa uchaguzi kumegeuka kuwa jambo la kawaida katika baadhi ya nchi za Afrika. Mataifa kama Tanzania na Uganda yameshuhudia kufungwa kwa mitandao ya kijamii au kuzimwa kabisa kwa huduma za intaneti kipindi ambacho wananchi wanahitaji taarifa...
  2. Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…