deedpond

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mamlaka za usimamizi wa usafiri wa abiria kutoka Moshi mjini kwenda wilaya jirani mko wapi abiria wananyanyasika

    Habari za muda huu wakuu?? Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku. Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
  2. Huyu demu au jini maana simuelewi

    Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…