Ndugu zangu vita inayoendelea Irani imesababisha upandaji wa bei ya nishati kitu ambacho kimesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa karibu zote,kwenye uchumi gharama za nishati/mafuta/gas zikipanda lazima bei ya bidhaa ipande.
Kwasasa hali ya maisha kwa upande wa wafanyakazi imekua mbaya zaidi...