Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemhukumu Hemed Juma Mrisho maarufu kwa jina la “Horohoro” kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya cocaine zenye uzito wa gramu 326.46.
Hukumu hiyo ilisomwa tarehe 23 Septemba...