Habari zenu nategemea mpo salama naomba kueleweshwa kitu
Hivi unaweza kutumia dawa za presha na ukakaa sawa?
Namaanisha unaweza kutumia dawa bila kuacha na maisha yakaendelea kama kawaida?
Je, unaweza kutumia dawa za presha halafu ukikaa sawa ukaacha kutumia hizo dawa au ndio unatakiwa utumie maisha yako yote, hata kama kipindi ambacho umekaa sawa