Wakuu,
Wizara ya Afya nchini Kenya imeidhinisha kuanza kutumika kwa dawa ya kuzuia maambukizi ya VVU ijulikanayo kama lenacapavir, ambayo hutolewa mara mbili tu kwa mwaka.
Wizara imesema uamuzi huo umetokana na tathmini ya kina ya kisayansi kuhusu ubora, usalama na ufanisi wa dawa hiyo...