Natumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa.
Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia vyakula gani bila kutumia dawa za hospitali? maana nimejaribu kutumia Juice ya Karoti lakini sioni...
Kuchanganya dawa za hospitali na ungaunga wa mbao ndio mbinu wanayotumia wataalam wa mitishamba kuwahadaa wagonjwa. Ukiumwa nenda hospitali achana na dawa zisizo thibitishwa, usiseme sijakwambia.
Soma Pia: Matumizi makubwa ya Diclofenac, Diclopar na Mitishamba husababisha Ugonjwa wa Figo
Inaelezwa kuwa karibu watu wote wanaugua Surua na Tetekuwanga kwa nyakati tofauti katika ukuaji wao.
Mara kadhaa nimeshuhudia wazazi wengi wakiwatibu watoto wao kwa dawa za Asili wakieleza kuwa hutibu haraka na kwa uhakika.
Lakini kwanini hawataki kuwapeleka Hospitalini kupata ushauri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.