david mathayo

David Mathayo David (born 24 July 1969) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Same West constituency since 2005. He is the current Minister of Livestock and Fisheries Development.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    PreGE2025 Dkt. David Mathayo anayemalizia ubunge wake jimbo la Same Magharibi achukua fomu tena

    MBUNGE wa Jimbo la Same magharibi mkoani Kilimanjaro, Dkt. David Mathayo amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo hilo kwa awamu nyingine. Mbunge huyo ambaye ameongoza kwa vipindi 4 mfulizo amedai kuwa anataka kuendeleza alipoishia katika kuwaletea wananchi maendeleo. Mathayo alifika...
  2. Nafuatilia msiba wa Msuya tangu juzi, mbona David Mathayo David hatajwi kwenye watoto wa marehemu

    Tangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
  3. TANZIA Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena

    Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena https://www.youtube.com/watch?v=Y8LcWxXTdv8 ========================= Aliekaa kwenye kiti...
  4. Mbunge David Mathayo Atoa Milioni Mbili Ukarabati wa Shule ya Msingi Kitamri

    MBUNGE DAVID MATHAYO ATOA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI KITAMRI Shule ya Msingi Kitamri iliyopo katika Kata ya Stesheni, wilayani Same mkoani Kilimanjaro inakabiliwa na Uchakavu wa majengo pamoja upungufu wa vyumba vya madarasa hali inayowafanya Wanafunzi kusoma kwa zamu. Kwa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…