Serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imeandika barua kuiomba radhi Serikali, Wafanyakazi wa Chuo, Wanafunzi wa chuo kutokana na kusababisha taharuki kubwa wakati wa harakati za kudai na kutatua changamoto za Mikopo ya wanafunzi wa chuoni hapo.
Aidha, katika barua hiyo Uongozi...