daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanadiplomasia na wataalamu naomba mnisaidie gharama za daraja kama hili tafadhali

    Naombeni makadirio yenu ili niingize kwenye bajeti unahisi kama hichi kidaraja kitagharimu kiasi gani ?
  2. M

    Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  3. Nani anayegharamia ujenzi wa daraja la Coco Beach? Kama taifa tumewekwa kwenye kapu la akili ndogo?

    Ukipita barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam baada ya mataa ya barabara inayoelekea Masaki pembeni ya bahari ya Hindi utakuta kuna kadaraja fulani hivi kanaunganisha kona moja na nyingine ambako kako mita chache sana kutoka barabara hiyo na kapo kando kidogo mwa bahari ya Hindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…