Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameleta tabasamu kwa Wananchi wa Nzali na Itiso baada ya kuanza kutumika kwa Daraja la Nzali lililogharimu Shilingi Bilioni 14.5 ambalo limekuwa ni suluhisho la changamoto kubwa zilizokuwa zikiwakabili wananchi kwa miaka...