daniel balili gilbert buberwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Daniel Balili Gilbert Buberwa amepotea, ndugu zake tunamtafuta

    Tunapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa kijana wetu mpendwa Daniel Balili Gilbert Buberwa (miaka 17), mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Diploma ya Uhandisi wa Kompyuta (Computer Engineering) katika Chuo cha DIT, amepotea tangu mchana wa jana. Taarifa za mwisho kumhusu zinaeleza kuwa alionekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…