Ukiwa ni mtu wa kuzunguka kikazi katika ofisi mbali mbali alafu ukiambiwa u-rate customer service utaishia kujikuta kati ya ofisi 20 ni 3 tu zinatiki.
Sijui ni msongo,
Sijui ni mazoea,
Sijui ni tabia yetu ya kuchukuliana poa,
Sijui wanalipwa maslahi madogo,
Anyway life's tough.