Hii Benki sielewi inakumbana na changamoto zipi.
Huduma zao ni mwendo wa Kobe , customer care ni mbovu , huduma ya simbaking naipata kwa kubahatisha., ukiomba mkopo wanakupa kwa kujisikia wao kama una shida ya muhimu hesabu umeshafeli. Kwakweli najuta kuwa mteja wa hii Benki nitawahama soon...