Kweli muda unakimbia sana 🕦, kutoka Kuwa movie mpaka maisha Halisi watu watakua na uwezo wa kufunga ndoa na maroboti wa Ai, na Roboti zitakua na uwezo wa kubeba Mimba.
China iko kwenye mpango wa kutengeneza roboti mwenye uwezo mkubwa wa kuweza kuzaa binadamu. Tumbo la uzazi la bandia...