Yoo! Kama bado hujapiga luku Chemka Hot Spring kule Hai – Kilimanjaro, bro uko nyuma mbaya! Hii spot iko kijiji cha Rundugai, ni hidden gem ya ukweli. Maji yanachemka natural, clean afu ni hot lakini fresh – kama jacuzzi ya nature. Perfect kwa kupiga picha, kuchill na kubalance akili.
Weka...