Nimeona mtandaoni namna ambavyo Waziri wa Afya ndugu Dorothy Gwajima alipokua anajibu hoja za Askofu Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima na mbunge wa Kawe.
Zaidi ya mipasho hakukua na majibu ya moja kwa moja ya kuwashawishi wananchi wakapatiwe chanjo ya UVIKO_19. Kwamaelezo ya waziri...