Mida ya jioni bajaji zina charge kutoka Karikoo hadi Kimara ni 4,000 kutoka Karikoo hadi Mbezi ni 5,000.
Viongozi wako busy na kampeni hakuna anae jali , watoto wao wanatembea na magari ya Billions yaliyonunuliwa na hawa walipa kodi wanaoteseka na usafiri ili wakafanye shughuli zao walipe kodi...