Ebana wanajamvi inakuwaje?
Yani wameshinda uchaguzi Uingereza yani hata masaa 24 hayajaisha waziri mkuu kashafuta mpango wa kupeleka wakimbizi Rwanda.
Mara taifa la Palestina litambuliwe na kuwepo kwa cease fire.
Waziri wa mambo ya nje kashaenda Brussels na Ujerumani kukutana na mawaziri wa...