chama cha adc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Viongozi na Wagombea Chama cha ADC wafanyiwa Tambiko, Mara

    Wazee wa Kimila wa Kabila la Waikizu katika Kijiji cha Kumgongo Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamewakabidhi fimbo za kimila, Viongozi na Wagombea wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), ikiwa ni ishara ya kuwapatia baraka na kuwasimika kushika dola katika nafasi wanazogombea
  2. GE2025 Mgombea Urais kupitia ADC, Wilson Elias Mulumbe akabidhiwa fomu za uteuzi na Mwenyekiti wa INEC

    Mgombea wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, tarehe 15 Agosti 2025 amekabidhiwa fomu za uteuzi na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele. Hafla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…