chakula kidogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mke wangu huwa ananiwekea chakula kidogo kwenye sahani sishibi, kumuambia naona aibu

    Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka yani nilikua narusha diko mbwa haruki. Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona, yaani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu? mimi binafsi huwa sishibi maana wife huwa...
  2. Nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa, nini tatizo??

    Ndugu wanaJf natumaini wote mko na afya njema, nirudi kwenye mada, Nina tatizo ambalo limekuwa linanisumbuwa Kwa muda mrefu, Kila nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa ni kama vile nimekula chakula kingi. Pia inachukua muda mrefu hadi nianze kuhisi njaa. Naomba mwenye kujua hili tatizo...
  3. Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

    Huu ugeni jamani, Nipo ugenini hapa nilipofikia nimejitahidi nisiwe nakula bure, nimefika ijumaa na Ile Ile ijumaa nilileta mafuta ya kula Lita 3. Hapo hapo nikanunua na nguruwe kilo 2, huwa sipend Sana free lunch. Sasa bana hapa nilipo wanapika msosi kidogo sana yaani daah sijui ndo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…