Kwa structure yake ya uongozi wake wa kitaifa na jumuiya zake ulivyo, ni wazi succession plan ndani ya CCM ni very active practical.
Na ni vizuri ikafahamika kwamba, mambo haya ya succession plan, hufanywa na visionary political parties pekee, ikiwa ni pamoja na CCM, wakati vyama vingine vya...