chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Vibaraka wao wa nje ya Tanzania wanataka kutuletea Ushoga, adai wameshindwa kutuondoa wanataka kutuua

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza...
  2. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kibonzo cha Kipanya kuhusu CHADEMA na mchoro wa pundamilia usiokwisha

    Wakuu, Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja. Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia kiboksi cha kwanza kikiwa kimechorwa sehemu ya nyuma ya Pundamilia inamaanisha nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rai yangu kwa CHADEMA kuelekea uchaguzi wa mwaka huu 2025

    Binafsi nadhani CHADEMA wajiandae kwa uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Kinachotakiwa ni wao kubadilika na kufanya kazi kubwa ya kubadilisha mindset za Watanzania. Kuendelea kulalamika kwamba tunaibiwa kura wakati hakuna hatua tunazochukua haijakaa vizuri hata kidogo. Mimi naamini, kama...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tanga: Tumeshuhudia uchaguzi wa CHADEMA wakitukanana, ni uthibitisho kuwa hawafai kupewa nafasi ya kuongoza nchi

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdulrahman Abdallah, amesema wanasiasa wa vyama vya upinzani hawana cha kuwaeleza wananchi juu ya kile walichokifanya, na kwamba wanafaa kupuuzwa. Badala yake, amewataka wananchi wamuunge mkono Rais Samia Suluhu Hassan. Rajabu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tunawaalika wasio wanachama wa CHADEMA waje wajiunge na Chama chetu cha Haki, tupiganie maendeleo na ustawi wa Nchi yetu pamoja

    Kipenga kimepulizwa, wito umetolewa. Shime kila mtanzania anayechukia wizi, ufisadi, uuzwaji wa rasilimali za umma kwa wageni, utawala usiozingatia haki na heshima anaombwa kwa unyenyekevu kujiunga na Chama chenye mwelekeo chanya. Ni Mh Tundu Lissu Mwenyekiti Taifa Chama cha demokrasia na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA HII ITAPATA MBUNGE ANGALAU MMOJA?

    Tuangalie safu ya vyama vyote Mwenyekiti wa ccm- amiri jeshi mkuu, Rais wa Tanzania. Mwenyekiti wa chadema- alikuwa mbunge, mwanasheria wa kujitegemea Makamo mwenyekiti wa ccm- waziri wa miaka mingi, mbunge wa miakq mingi Makamo mwenyekiti chadema- mbunge wa miaka 10. Makamo mwenyekiti...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya LISSU, Fanyeni mnavyoweza, Kuutangazia na Kuusambazia Umma Habari za Utabiri wa SHEIKH YAHYA kuhusu UPINZAN KUCHUKUA NCHI !!

    Mtakuja Kunishukuru sana !!. Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi. Tumieni Kila kitu mlichonacho kuhakikisha Huo unakua Wimbo Mtaani kuanzia Mijini mpaka Vijijin. Kwa wanaoona Mbali kama...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

    Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huenda CHADEMA ya Lissu ikawa na nguvu Zaidi Wanaotaka Kuhama kisa Lissu na Heche ni Vinara Wajipe Muda CCM ni Chama Cha Upinzani baada ya Oct 2025

    CHADEMA ni chama ambacho tayari kimepita hatua ya kufa au kufifia kisa Kuna Mwanachama au wanachama kadhaa wameihama kwenye hili nadhani tunakubaliana wote. Kuna kila dalili CHADEMA ikatwaa Dola kwenye Uchaguzi Mkuu huu wa Oct 2025, Jambo hili lilitabiriwa na Mnajimu mashuhuri Duniani...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe Kamati ya Siasa (CCM) Wilaya ya Ubungo: CHADEMA haiwezi kushindana na CCM majukwaani

    Mjumbe Kamati ya Siasa (CCM) Wilaya ya Ubungo Hamis Abeid Baruani ameiomba serikali kutoa uhuru wa kufanyika kwa siasa za majukwaani ili Chama Cha Mapinduzi CCM kiweze kushindana kwa hoja na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na hatimaye kuweza kuwashinda katika majukwaa na hata...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa sasa CHADEMA hawajengi hoja, wanatumia jazba kujibu hoja

    Hivi ukipost kuhusu kuokosoa uongozi mpya wa chadema basi hujibiwa kwa kejeli badala ya hoja. Haya yanajitokeza ktk account mbali mbali ikiwemo Ngurumo katika hoja yake kuhusu hujuma anaetaka kufanyiwa mwenyekiti wa BAWACHA. Ukisoma comment za wanaCHADEMA utaona wazi kuna gap kubwa kati ya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA chini ya Lisu; Watanzania wana matumaini makubwa sana na nyie, mlete ajenda nzito nzito

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Watanzania wengi matumaini yao yapo kwa chadema chini ya mh Tundu Lisu, nasikia mmejifungia chumbani mlete ajenda nzito nzito kweli kweli zidi ya wapinzani wenu. Rushwa Ufisadi Ajira kwa vijana hii iwe ajenda kubwa sana Kutowajibika kwa viongozi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RETREAT YA CHADEMA: Azimieni kuwatetea kundi kubwa la Watumishi wa Umma kuhusu kupandishiwa Mishahara mtanishukuru baadae

    Kiukweli hili ni kundi kubwa sana sema kisiasa Wapinzani hawalipi Umuhimu unaostahili. Kundi hili limeathirika kwa muda mrefu sana toka kipindi cha Magufuli takribani Miaka 10 kuna watu hawajapata Nyongeza yoyote ya maana zaidi ya hizo elf 20 ilihali kiuhalisia Gharama za Maisha zimepanda...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA sasa ni chama rasmi mbadala wa CCM

    Hiki Chama sasa kimebeba taswira ya nchi halisi ya waTZ,wale waliokua mashabiki wa mtu/watu kwa sasa wajue mtu hadumu ila systems/chama nzuri ikijengwa hudumu miaka na miaka. Ni bora watu wahangaike kutengeneza mfumo utakao ishi siku zote. Ile January 21 was really and true revolution ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mahinyila: Polisi wanatugonga virungu kwasababu wana stress, CHADEMA hatujawahi kuwa maadui wa Polisi

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila amesema hatakuwa tayari kuona wananchi wanaonewa kwa mambo mbalimbali kama kutozwa kodi na kukamatwa na polisi 'kiholela' hivyo atapambana ili kujenga kuheshimiana kati ya wananchi na mamlaka. Mahinyila...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri wangu kwa CHADEMA

    Kabla ya kuingia kwenye mapambano makali ya kudai maboresho ya Katiba na Sheria bora za Uchaguzi, nadhani CHADEMA wangefanya yafuatayo kwanza:- 1. Iandaliwe orodha ya maboresho muhimu ya Katiba na sheria yanayotakiwa kufanyiwa kazi kabla ya uchaguzi. Baada ya kuandaliwa, hiyo orodha ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

    Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
  18. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muungeni mkono Luhaga Mpina

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu. Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu mbalimbali na alitoa mfano wa uagiza wa mabehewa ya treni(kama ni mapya, yamepigwa rangi, n.k)...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini maovu watende CCM, lakini walaumiwe CHADEMA?

    Kila wakati huwa sielewi akili za watu wanaowalaumu CHADEMA kwa matendo maovu yanayotendwa na CCM. Serikali kwa sasa inaongozwa na CCM (hakuna Serikali ya CCM) kwa ivo kila baya linatendwa dhidi ya CHADEMA na Serikali, ni lazima liwe linatokana na maagizo ya CCM. Kwa mfano John Magufuli akiwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtia nia nafasi ya Urais CHADEMA: Cha kwanza nikishinda Urais nitabadilisha mfumo wa talaka. Nitahakikisha talaka haimuumizi mwanaume!

    Wanaume mpo? Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka. Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume. Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…