chadema kanda ya nyasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. POTOSHI Sugu asema Lissu ni Mhaini, wana CHADEMA kanda ya Nyasa wanaikataa na hawaitaki 'No reforms, No election'

  2. PreGE2025 Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama

    Wakuu! Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
  3. LGE2024 Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa: Aeleza kutoridhishwa na mwenendo wa zoezi la uandikishaji katika siku ya kwanza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimewahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Bi...
  4. PreGE2025 Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

    https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8 Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua) Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake kupinga ushindi huo wa Sugu, bado haijajulikana kama Kamati Kuu...
  5. J

    Mchungaji Msigwa wa CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari leo saa 5:00 asubuhi

    Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni 😄🔥 Ahsanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…