Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara, Chacha Heche, amesema kuwa hadi sasa chama pekee cha upinzani chenye uwezo wa kuibana CCM kisiasa na kulazimisha mawazo mapya ni CHADEMA pekee, akisisitiza kuwa hakuna chama kingine cha upinzani chenye ushawishi na nguvu...