The 2012 Kagame Interclub Cup was the 37th edition of the Kagame Interclub Cup, which is organised by CECAFA. It began on 14 July and ended on 28 July 2012. Tanzania hosted the tournament for their eleventh time since it officially began in 1974, when they were also hosts. The tournament made Wau Salaam the first South Sudanese club to take part in an international club tournament.
Defending champions Young Africans picked up their fifth title of the competition after beating fellow Tanzanians Azam in the final.
Simba SC inatarajiwa kurejea Dar es Salaam , Agosti 5, 2026, baada ya kukamilisha kambi yake ya maandalizi nchini Rwanda iliyojumuisha mechi tatu za Kagame Cup pamoja na mchezo mmoja wa kirafiki dhidi ya Al Merriekh ya Sudan.
Mara baada ya kurejea nyumbani, macho yote yataelekezwa kwenye...
Leo Jumamosi Julai 25 ni zamu ya Tanzania ambapo vigogo wawili, Simba SC na Singida BS kutoka Kundi B watakuwa dimbani kwa nyakati tofauti.
Anaanza Singida BS dhidi ya Jamusi FC kutoka Sudan Kusini... kisha saa 1:00 usiku ni Mnyama Simba SC mwenye vifaa vipya dhidi ya Mogadishu City ya Somalia
Klabu ya Simba SC imethibitisha rasmi kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2026, itakayofanyika jijini Kigali, Rwanda, kuanzia Julai 24 hadi Agosti 7, 2026.
Ushiriki wa Simba unarejea katika mashindano hayo ya vilabu vya Afrika Mashariki na Kati baada ya kukosekana kwa miaka kadhaa, huku...