Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akisisitiza kuwa jeshi hilo ni mali ya wananchi na limepewa jina hilo kwa kutambua wajibu wake wa kuwalinda.
"'Hili ni jeshi lao, na ndio...