Suala la kashfa ya Richmond na mabilioni yaliyochotwa katika Akaunti Maalum ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), linatarajiwa kutawala mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC-CCM) na waliotuhumiwa kwa kashfa hizo kujieleza mbele ya wajumbe wenzao na wabunge...