ccm njombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Sigrada Mligo amtuhumu mgombea CCM Njombe Mjini kuanza Kampeni Mapema kabla ya uteuzi

    Mgombea Ubunge kwa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo amelalamikia uvunjwaji wa kanuni za kiuchaguzi kutokana na Mgombea Ubunge wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) kwa Jimbo hilo Deo Mwanyika kuanza kufanya kampeni akiwa bado hajateuliwa bado na Tume...
  2. R

    GE2025 Kumekucha, CCM Njombe waanza Kampeni kwa mabango kabla ya muda

    Haya sasa mambo yapo nje ya muda, yaani CCM mwaka huu hata hawaogopi ni mambo hadharani kuvunja kanuni na sheria za nchi na hawachukuliwi hatua. Hapo ingekuwa ni CHADEMA tayari huyo mgombea angefutwa na kuondolewa kuwania tena Tume ya uchaguzi wangeshatangaza ila kwa sababu ni CCM ni kama...
  3. PreGE2025 CCM Njombe yatoa wito kwa wananchi kujitayarisha na Uchaguzi: 'Ni Takwa la Kikatiba'

    Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe kimetoa wito kwa wananchi mkoani humo kujiandaa na uchaguzi kwa kuwa ni takwa la kikatiba huku wakidai kuwa hakuna Chama chenye uwezo wa kuzuia takwa hilo. Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga amebainisha...
  4. PreGE2025 Njombe: CCM watoa tamko kupigwa vibaya Mwenezi wa BAWACHA

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Njombe Josaya Luoga kimesema kimesikitishwa na kitendo kilichotokea cha kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chadema ( BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo na kusema hakileti picha nzuri Soma, Pia: Ghasia...
  5. PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Njombe: Kuna wanasiasa wameifanya Tanzania kama Gheto. Wanavuruga amani alafu kesho anakata tiketi anaondoka!

    Lengi la kauli kama hii ni kumlenga nani? Kuna wanasiasa hapa Tanzaniq familia zako ziko nje ya nchi. Naomba kujuzwa ====================== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein, anasema anakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama 'gheto' na siyo makazi rasmi...
  6. PreGE2025 Jumuiya ya wazazi CCM Njombe yawanoa Mavanga sec juu ya maadili

    Naona sasa wamendelea kutia nguvu katika harakati zao za kampeni mpaka mashuleni sasa si ndiyo? ================== Tabia za wazazi Wengi kushindwa kuwalea watoto katika malezi yenye maadili mema imetajwa kuendelea kuliingiza Taifa kwenye misukosuko na mmomonyoko wa maadili kwa watoto wanaoweza...
  7. Mwenyekii wa CCM Njombe: Ongeza watoto kwani huduma za afya zinaboreshwa

    Hivi hizi kauli zao za kuongeza watoto zimekuwa ajenda? Lakini upande wa pili bado hali ni tete sanakwenye mazingira ya huduma za afya. ============ Mwenyekii wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe Deo Sanga {Jah People} amewasihi wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe kuendelea kuongeza watoto kwani...
  8. PreGE2025 CCM Njombe yawaonya watakaotoa zawadi bila vikao halali

    Chama Cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimepiga marufuku wanachama wa chama hicho kujipitisha na kutoa zawadi,misaada au kitu chochote katika kipindi hiki bila kuridhiwa na vikao halali vya chama na kwamba hatua Kali za kinidhamu zitachukuliwa kwa atakayebainika. Kupitia maazimio ya Kikao Cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…