Haya sasa mambo yapo nje ya muda, yaani CCM mwaka huu hata hawaogopi ni mambo hadharani kuvunja kanuni na sheria za nchi na hawachukuliwi hatua.
Hapo ingekuwa ni CHADEMA tayari huyo mgombea angefutwa na kuondolewa kuwania tena Tume ya uchaguzi wangeshatangaza ila kwa sababu ni CCM ni kama...