ccm mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Humphrey Polepole hata wakikuua ulishamaliza wajibu wako kwa taifa, nyeti za CCM mtandao ziko hadharani

    H Polepole alishatusanua, tatizo la nchi hii siyo mabeberu ni ccm mtandao. 1. Ndiyo maana Singa singa wa Iptl alitolewa harakaharaka na kulipwa billioni 349 za kodi za watanzania kinyume kabisa na agizo la bunge. 2. ⁠Ndiyo maana wabunge wote waliokuwa wanahoji kuhusu masilahi ya taifa na...
  2. Kijana mzelendo anaelezea kuhusu CCM mtandao

    Je hili kundi ndilo lililotufikisha hapa tulipo sasa?
  3. GSM (zamani Home Shopping Center) ni moja ya Kampuni hatari sana kwa Watanzania

    Hawa wanahusika na mipango mingi miovu ya kubagaza nchi hii na kubananga. Wanahusika pakubwa na uporaji na ununuzi wa maeneo ya Umma ambayo miaka ya nyuma walikataliwa kuuziwa. Hawa mnajua wamenunua eneo kubwa la Kurasini mpaka shule na ofisi za Uhamiaji Kurasini? Mnajua kuwa kuna maeneo...
  4. Tukinyimwa misaada na mikopo na kutengwa kimataifa CCM mtandao watanyooka

    Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru watu wakauoliwa kama mende kisa tu madaraka na ubinafsi. Kama kiongozi unajua haukubaliki na wananchi hawakutaki ,kwa ninj utumie bunduki kuua raia? Kwa nini usijiulize wananchi hawanitaki? Naomba Marekani na mataifa yote makubwa waitenge Tanzania kwa...
  5. GE2025 Polepole: Samia alimweka pembeni Nchimbi akatishwa na CCM mtandao, ''Ukimtoa huyu na wewe unaondoka''

    Polepole Septemba 30, 2025 aliendelea kusisitiza kuwa uteuzi wa Dkt. Nchimbi kama mgombea mwenza wa Rais Samia, ulikumbwa na kashikashi ambazo zilipelekea kutaka kumtoa. Lakini wale anaowaita CCM mtandao walimtisha mama Samia kuwa hatakiwi kumtoa Emmanueli Nchimbi. Polepole anasisitiza kuwa...
  6. Tetesi: CHAUMMA, ACT na CCM mtandao na polisi muda wowote kuitisha press , kujaribu kumponda captain Tesha !!

    Tunaendelea kuwaonya ,Wote wanaotumika kuwakamdamiza Wananchi. Nyinyi mnaojifanya Wasaniii, kuita vyombo vya habari, kujaribu kuwasonga songa watu wanaosimamia Kweli. Jishikilieni Jishikilieni !!.
  7. POTOSHI Olengurumwa: Katiba mpya inakwamishwa na CCM mtandao wanaonufaika na mfumo

    Wakuu Je, Olengurumwa aliyasema maneno haya au amemezeshwa? kwamba Katiba mpya inakwamishea na CCM mtandao wanaonufaika na mfumo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…