bwawa la umwagiliaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Dodoma: Kamati ya Kudumu ya Bunge, imeridhishwa na maendeleo ya utekelezaji mradi wa Bwawa la Umwagiliaji Membe

    KAMATI YA BUNGE YARIDHIKA NA MAENDELEO MRADI WA MEMBE Yamuomba Rais Kuongeza Utoaji wa Fedha Miradi ya Umwagiliaji Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, imeridhishwa na maendeleo ya utekelezaji mradi wa Bwawa la Umwagiliaji Membe. Bwawa hilo ambalo linajengwa...
  2. PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaonesha kuridhishwa na utekelezaji wa ujenzi mradi wa bwawa la Umwagiliaji Membe Dodoma

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeridhishwa na utekelezaji wa ujenzi mradi wa bwawa la Umwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Kamati hiyo imesema, ujenzi wa bwawa umeendana na thamani ya fedha iliyowekwa. Pia soma: Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi...
  3. PreGE2025 Dodoma: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeridhishwa na utekelezaji wa ujenzi mradi wa bwawa la Umwagiliaji Membe

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeridhishwa na utekelezaji wa ujenzi mradi wa bwawa la Umwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Kamati hiyo imesema, ujenzi wa bwawa umeendana na thamani ya fedha iliyowekwa. Akizungumza wakati wa ziara ya kamati hiyo katika...
  4. Mkandarasi apewa Milioni 600 na kujenga tuta la zege pekee. CCM "washangazwa" na kutaka mkandarasi huyo aondolewe

    Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee. Tume ya Umwagiliaji imetaja sababu za kuchelewa kuwa ni kasi ndogo na ukosefu wa vifaa. Kamati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…