buzuruga

Buzuruga is an Ward in Ilemela District, Mwanza Region, Tanzania with a postcode number 33213. In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 22,410 people in the ward.: 144 

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara kuu ya Buzuruga - Nyasaka - Airport jijini Mwanza ina mashimo muda mrefu

    Barabara kuu inayotoka Buzuruga kuelekea Nyasaka hadi kuungana na Airport Road jijini Mwanza ina mashimo mengi ambayo yamekuwepo kwa zaidi ya miezi sita bila kutatuliwa. Hali hii inasababisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara na inaweza kuhatarisha usalama wao. Tunaomba mamlaka zinazohusika...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Buzuruga Health Center (Buzuruga Hospital) hakuna dawa na huduma si nzuri

    Mwanza, Buzuruga Health Center (Buzuruga Hospital) hali mbaya sana, hakuna dawa wala huduma si nzuri, wagonjwa wanaelekezwa kununua dawa nje ya hospitali kuna duka husika, taasisi haina hata plasta. Upande wa wanawake wajawazito wanakutana na changamoto ya vifaa, havipo vya kutosha, wananunua...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani wa kata ya Buzuruga aliyevamiwa na kupigwa, afanyiwa Dua

    Diwani wa kata ya Buzuruga ambae pia ni naibu Meya wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela Manusura Sadick amefanyiwa dua maalum baada ya kutoka hospitali ya rufaa ya kanda ya Bugando alipokuwa anapatiwa matibabu ya majeraha aliyopata kutokana na kushambuliwa na kundi la vijana. Diwani huyo...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Buzuruga yageuka dampo la uchafu

    Baada ya stendi ya Buzuruga Mwanza kuhamishwa Na kuelekezwa Maeneo ya Nyamhongoro jijini Mwanza stendi hiyo ilibaki kama matumizi ya magari madogo bajaji pamoja na Dala dala katika jiji hilo Lakini kwa sasa hali imeanza kubadilika kwa Baadhi ya wafanya Biashara kugeuza maeneo ya katikati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…