bungeni dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Mfumo mbaya wa kodi kikwazo sekta ya viwanda

    Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa...
  2. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kamati za Bunge zisikae tu bila kufuatilia mambo

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amezitaka Kamati za Bunge hususani zile za Sekta kufanya kazi zinazohusika nazo akisema zisikae tu pasipo kufuatilia mambo. Ametolea mfano suala la Ajira za Walimu ambapo amehoji, "Wangapi mnajua Wapiga Kura wenu wangapi wamepata? Mnaweza kuwa na uhakika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…