🚨Magori anasema Barker alisema Uza.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Crescencius Magori, amefichua siri nzito ya jinsi klabu hiyo ilivyolazimika kufanya biashara ngumu ya kuwauza mastaa wao watatu, Jean Charles Ahoua, Kibu Denis, na Steven Mukwala, wakati wa dirisha dogo la...