Kwani hivi vikundi huwa vinalipwa kuja kumsifia Samia au ni kwa matakwa yao binafsi wamependezwa n utendaji kazi wake maana utasikia bodaboda wanamkubali mama, Mama ntilie wanamkubali mama mara Fundi ujenzi nao wanamkubali mama
Kwa hali hii naona ni watu wa Daslam ndo wanawaza kuandamana ila...