Anaitwa Jack Dorsey muanzilishi wa mtandao wa Twitter (kwa Sasa unaitwa X) amekua kimya kwa muda mrefu baada ya kuuza app yake kwa Tajiri Elon musk hatimaye amerudi Tena bhana.
💭 Amekuja na program mpya ya kuchati ambayo hutumii intaneti kuweza kuwasiliana, Dorsey aliweza kutambulisha app...