Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Bishop Bikira iliyopo Kata ya Nyakato Tarafa ya Bugabo Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, amekutwa amefariki dunia, baada ya kujinyonga kwa kutumia shuka.
Akizungumza na Waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasius...