KIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni...