Pretoria, Afrika Kusini. USM Alger ya Algeria imeandika historia nyingine katika soka la Afrika baada ya kuichapa Mamelodi Sundowns mabao 3-1 na kutwaa ubingwa wa taji la CAF Super Cup kwa mara ya pili.
Katika mchezo huo uliopigwa leo Jumapili, Novemba 8, 2026, kwenye Uwanja wa Loftus Versfeld...