bili ya umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wapangaji wenzangu, mnakabiliana vipi na jirani asiyetaka kulipia bili ya maji na umeme?

    Maisha haya! Hii dunia ina mambo sana, hivi wapangaji wenzangu mnakabiliana vipi na mpangaji mwenzako asiyetaka kulipia maji na umeme jamani na mnatumia wote? Huyu jirani yangu kanishinda tabia walahi, angekuwa bidhaa ningemgawa bure kabisa maana hafai msikitini wala kanisani, hafai kwa mchuzi...
  2. Upigaji vituo vya mabasi, Kituo cha Magufuli chawalipia wapangaji bili ya umeme na maji Tsh. Milioni 563.02

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini upigaji na madudu yanayofanywa katika vituo mbalimbali vya mabasi hapa nchini. Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyotoka hivi karibuni, pia amesema kuna uendeshaji...
  3. Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…